Serikali ya Mapinduzi, Zanzibar - President's Office and Chairman of Revolutionary Council Diaspora
 • Kuelekea Kongamano la Diaspora 24-25 Agosti 2016

  Kuelekea Kongamano la Diaspora 24-25 Agosti 2016

  Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Redio za FM kuhusu kongamano la Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) linalotarajiwa kufanyika Agosti 24 mwaka huu.

 • semina ya diaspora kwa masheha wa Wilaya ya Mjini Zanzibar.

  semina ya diaspora kwa masheha wa Wilaya ya Mjini Zanzibar.

  Picha ya pamoja iliyopigwa na washiriki wa semina ya Diaspora. Kutoka kushoto ni Sheha wa Shehia ya Mchangani ndugu Nassir Ali, Mkurugenzi wa Diaspora nd. Adila Hilal Vuai, Mgeni rasmi aliyefungua semina hiyo Marine Joel Thomas na Suleiman Muhsin Afisa wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

 • ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDIA

  ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDIA

  Katibu Mkuu Wizara ya Diaspora nchini India Ndugu Shri. Prem Narain (Wa pili kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Ndugu Salum Maulid Salum (Wa Pili kutoka kulia) pamoja na watendaji wake katika picha ya pamoja ya kuagana walipotembelea Wizara…

 • ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDIA

  ZIARA YA MAFUNZO NCHINI INDIA

  Katibu Mkuu Wizara ya Diaspora nchini India Ndugu Shri. Prem Narain (Wa pili kutoka kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Ikulu na Utawala Bora Zanzibar Ndugu Salum Maulid Salum wakibadilishana mawazo kuhusu utekelezaji wa majukumu ya Wizara zao katika Wizara ya Diaspora nchini…

 • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed

  Shein,akizungumza na Wazanzibari wanaoishi nchi za nje (Diaspora) wakati alipowaalika katika chakula maalum katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar (kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi.

Welcome to Zanzibar Diaspora

The Department of International Cooperation has been accorded an additional mandates of Coordinating Diaspora affairs with view to engaging them in socio – economic development of Zanzibar. Diaspora Unit has housed within the Department of International Cooperation, in the office of The President and Chairman of Revolutionary Council.

read more
 • Why Zanzibar Diaspora

  A growing body of evidence suggests that diasporas play a critical role in supporting sustainable development by transferring resources, knowledge, and ideas back to their home countries, and in integrating their countries of origin into the global economy. Financial flows from migrants and their descendants are at the heart of the relationship between migration and development. While remittances have important effects on financial development,… read more

 • Important Services
  This Section is Being Updated!
 • Take Action
  This Section is Being Updated!

Investments & Attractions