Idara hii inahusika na masuala ya uratibu wa Ushiriki wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika shughuli za Kikanda na Kimataifa katika nyanja za kiuchumi, kijamii; pamoja na uratibu wa shughuli za Wazanzibari Wanaoishi Nje ya Nchi na kuhakikisha... Read More
Kikao, hicho cha kujadili ushiriki wa diaspora katika Maendeleo ya Zanzibar kilifunguliwa na Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais - lkulu , Mhe:Jamal Kasim Ali (katikati ) Mkurugenzi Idara ya Diaspora Zanzibar pamoja na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazanzibar Wanaoishi Uingereza (ZAWA) katika...