IDARA YA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA NA URATIBU WA WAZANZIBAR WANAOISHI NCHI ZA NJE
PROGRAMU: Ushirikiano wa Kikanda, Kimataifa na Uratibu wa Zanzibar Wanaoishi Nchi za Nje
MATOKEO YA MUDA MREFU: Zanzibar kufaidika na fursa za kiuchumi na kijamii zinazotokana na Jumuiya za kikanda na Kimataifa na Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi
PROGRAMU NDOGO: Kuiwakilisha Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika mikutano ya Kikanda na Kimataifa
LENGO KUU: Kuimarisha mtengamano wa Kikanda, Taasisi za Kimataifa na ushirikiano mwema na Nchi marafiki na kutumia fursa za Kiuchumi na Kijamii zinazotokana na Jumuiya na Wazanzibar wanaoishi nje ya Nchi
PROGRAMU NDOGO: Uratibu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika masuala ya Diaspora