Ufunguzi wa Semina ya Diaspora na Maendeleo na umuhimu wa Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
- Dec 06, 2016
- 164 Views
Aliyesimama ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimaifa na uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nje ya nchi Ndugu Adila Hilal Vuai akitoa maelezo ya kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Kusini...
MASHEHA WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAPATIWA ELIMU YA DIASPORA
- Nov 15, 2016
- 163 Views
Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja ndugu Vuai Mwinyi Khamis amewataka masheha wa Mkoa huo kutoa elimu ya kutosha kwa wananchi wao kutambua juu ya nafasi ya mchango waliokuwa nao wazanzibari...
WANADIASPORA WATOA MISAADA ZANZIBAR
- Nov 13, 2016
- 180 Views
Baadhi ya samani zilizotolewa na Wazanzibari wanaoishi Seattle nchini Marekani kama msaada kwa wananchi wa Zanzibar kusaidia upungufu wa madawati kwenye Skuli za Sekondari. Waliofaidika na...
Kuelekea Kongamano la Diaspora 24-25 Agosti 2016
- Aug 02, 2016
- 157 Views
Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Salum Maulid Salum (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari wa vyombo mbali mbali vya Redio za FM...
WANADIASPORA WA ZANZIBAR WAPONGEZWA KILA KONA
- Aug 01, 2016
- 164 Views
Masheha wa Wilaya ya Mjini pamoja na wananchi kutoka vijji mbali mbali na taasisi za serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutoka Unguja na Pemba wamewapongeza na kuwashukuru Wazanzibari...