Latest News and Events

Sheha wa Shehia ya Kikwajuni juu Bibi Asha Ali Sheha na Bibi Mtumwa Soud Said wa Shehia ya Amani ni miongoni mwa akinamama waliopata fursa ya kushiriki katika Semina ya elimu ya Diaspora
Mkuu wa Wilaya ya mjini ndugu Marina Joel Thomas akisoma hotuba ya ufunguzi wa semina ya kutoa elimu ya Mtengamano wa jumuia ya Afrika Mashariki na Diaspora kwa Masheha wa Wilaya Mjini iliyofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Habari Kikwajuni.