ZACADIA YATOA MSAADA WA VITABU KWA TAASISI ZA ELIMU ZANZIBAR
- Aug 06, 2018
- 181 Views
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Zanzibar Ndugu Adila Hilal Vuai ameendelea kuwashajihisha Wazanzibari wanaoishi Nchi za Nje kuitikia wito wa...
AHAS GROUP Wachangia Kuimarisha Sekta Ya Elimu Zanzibar
- Jan 25, 2018
- 172 Views
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimatifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi Nchi za Nje Ndg. Adila Hilal Vuai ameutaka Uongozi wa Skuli ya Jang’ombe Msingi “B” kuvitumia vyema...
Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar
- Nov 30, 2017
- 179 Views
Baadhi ya wanadiaspora wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Bi Adila Hilal Vuai akifafanua baadhi ya hoja na michango wakati wa mkutano huo.
OR NA MBLM ZANZIBAR YAFANYA KIKAO NA IDARA YA UHAMIAJI ZANZIBAR
- Nov 30, 2017
- 180 Views
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari wanaoishi nchi za nje Adila Hilal Vuai amesema kuwa Idara yake inakusudia kujenga mashirikiano ya karibu zaidi na...
Naibu Waziri wa Afya wa SMZ Bi Mwanaharusi Said Suleiman
- Nov 17, 2017
- 180 Views
Naibu Waziri wa Afya wa SMZ Bi Mwanaharusi Said Suleiman akizungumza na Jumuiya ya watanzania Waishio Seattle Washington Marekani