Mkutano wa wanadiaspora na idara ua uhamiaji zanzibar

  • Nov 30, 2017
  • 179 Views

Baadhi ya wanadiaspora wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Diaspora Bi Adila Hilal Vuai akifafanua baadhi ya hoja na michango wakati wa mkutano huo.

Wa kwanza kushoto ni Afisa Sheria wa Uhamiaji ndugu Chum K. Amour akitolea ufafanuzi juu ya sifa na mahitaji ya kikanuni na kisheria zinazohitajika kwa wanadiaspora kupatiwa vibali vya ukaazi na kazi.

Related Articles