Ujio wa Madaktari ma Diaspora Kutoka Marekani
Afisa wa Idara ya Diaspora Ndg; Salum Moh'd Ramia akiongozana na Ma Diaspora Bandari ya Zanzibari katika ujio wao.
Mkurugenzi wa Diaspora Ndg; Adila V Hilal akibadilishana mawazo na mmoja wa Madakrai Madaispora kutoka Marekani
Madaktari Madaispora wakitoa huduma na maelekezo katika kitengo cha upimaji sukari spitali ya Mnazi Mmoja