President's Office and Chairman of Revolutionary Council
Zanzibar Diaspora
Maafisa wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) wameshirikiana na Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Oman (TADIO) wakigawa Futari kwa wanan
Mar 14, 2025
1 Views
Maafisa wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa na Uratibu wa Wazanzibari Wanaoishi Nje ya Nchi (Diaspora) wameshirikiana na Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Nchini Oman (TADIO) wakigawa Futari kwa wananchi wa vijiji mbali mbali Kisiwani Pemba zaidi ya familia 790 wamepatiwa misaada huo.